Categories
Social Media Management Uncategorized

SABABU KWA NINI UTUMIE MITANDAO YA KIJAMII KUTANGAZA BIASHARA NA SHUGHULI ZAKO:

samsung

SABABU KWA NINI UTUMIE MITANDAO YA KIJAMII KUTANGAZA BIASHARA NA SHUGHULI ZAKO:

Kabla ya kukua kwa matumizi ya Intaneti, Biashara na Shughuli nyingi zilitumia mbinu ya moja kwa moja( offline marketing tactics) kujitangaza. Kadri matumizi ya Mtandao wa Intaneti yalivyoongezeka kila mtu mwenye biashara na shughuli inayotakiwa kujulikana kwa watu alianza na kuendelea kutumia ili kuwafikia Wateja kwa Urahisi na kwa haraka sana. Tumeona Makampuni Makubwa kwa Madogo na Taasisi mbalimbali zikifungua wovuti binafsi kuwakirisha shughuli zao. Wovuti hizi zilianzishwa kiutaalamu zikisimama juu kwenye Injini za Utafutaji ( Search Engines) na Maneno Muafaka ( specific keywords).

By maziwa makuu project, hr & digital consultancy

Management of Social Media Networking & Marketing, Communication from Service Provider to Customers, Searching out Customer Needs, Helping in Setting Up Social Network Packages, Explanations on Social Media Platforms Interconnections, Working as Front Liner in Customer Service,Excellent Understanding of Business & Spotting Opportunities, Writing Quality Content, Build Links, Network & Translation of Digital Information,Establish & Create Websites, Blogs and Social Media Accounts, Do Affiliate Marketing, Email Marketing, Video Marketing, Podcasts, Online Marketing, Google Ads, Social Media Marketing, Google Analytic s, Web Marketing, Online Business, Growth Hacking, Search Engine Optimization (SEO)

Leave a comment